Na aliyeniambukiza kabla ata ya kuzini naye kwa mara ya kwanza tulienda tukapima wote tukaambiwa tupo salama lakini binti mwenyewe aliniambia me nahifu ya kupima kwasababu nina UTI ya kujirudia rudia na hata hivi ilichukua mda kama wa miezi sita kugundua pia me nina UTI ambayo nikeza...
Jamani kijana wenu naugua ni mwaka sasa umepita nikiwa na huu ugonjwa na sijui nifanye nini maana dalili ni za herps kabisa lakini nikienda kupima naambiwa sina hayo maradhi ,wakuu vipele vinatoka kwenye uume vinawasha na kuuma nilijaribu kutumia dawa za hispitalini na nechomwa masindano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.