Recent content by jabirimnaguzi

  1. jabirimnaguzi

    Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Ukiifanya kua kazi inaingizia kipato lengo sio kujua kuingiza kipato
  2. jabirimnaguzi

    Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Nimeomba bado sijafanikiwa kupata ndomana najaribu kila sehemu mkuu nimechoka kutulia na kusubilia
  3. jabirimnaguzi

    Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
Back
Top Bottom