mimi ni kijana ambae nipo katika umri huo, na ofcoz tumekua na matarajio mengi na tumefeli kuyafikia... cha kwanza mi bawashauri vijana muoe ingawa najua wengi watanipinga... ila kuoa kutakutoa wenge... cha pili vijana wengi hawana malengi yenye deadline... yan naweza akawa analwngo lakin hajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.