Kama sio single mama ila alishatoa mimba tatu za wanaume watatu tofauti,au hajawahi kushika mimba ila keshatembea na wanaume zaidi ya kumi je huyo ni mke wa mume mmoja au wengi?
Hakuna alichoshindwa isipokuwa sio msikivu ninayetaka kushindwa ni mimi,wewe utaweza tu kwasababu ni msikivu ,au nawewe utakuwa unawasiliana na mzazi mwenzako? Hakuna mwanaume atakayekubali mkewe awe anawasiliana na mzazi mwenzake hata kama ana uhakika hawawezi kupasha,hata kama ana uhakika huyu...
Kama aliambiwa hivyo na wifi yake,alitakiwa arudi kwangu tushauriane cha kufanya , kwasababu nilishamwambia staki uwasiliane na mzazi mwenzako Moja Kwa moja nenda Kwa wifi yako, kufanya tofauti na makubaliano yetu ni usaliti.
Kumbe una akili timamu ila ukiamua unajitoa ufahamu,kosa langu kuu ni hilo kuoa single mother,lakini nimeshakwambia huyu mke wangu alikuwa na mumewe ambaye ni marehemu,nilimuoa nikijua ni mjane mwenye mtoto mmoja ila sikujua kama huyu mtoto si wa marehemu ni wa mwanaume mwingine ambaye alizaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.