Recent content by Jaaphar

  1. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Je ni lini wanufaika wa mikopo mwaka wa 1 watapewa pesa zao za kujikimu?

    Since 24 oct, na ni IFM mkuu
  2. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Je ni lini wanufaika wa mikopo mwaka wa 1 watapewa pesa zao za kujikimu?

    Habar za mida hii wana JF, ukiachilia mbali chuo cha UDSM ambacho tayari kimeshatoa pesa za wanufaika wa mikopo, kwa yeyote anaefahamu ni lini pesa za wanufaika wa miokopo zitatolewa maana maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku hapa chuoni. [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
  3. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Tumekukumbuka baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli ndani yake?

    Alosoma Mwanza mkuu
  5. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli ndani yake?

    Shukran mkuu kwahyo dogo inabidi akaongeze level
  6. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli ndani yake?

    Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya suala hili? Msaad wakuu.
  7. Jaaphar

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mtwara katikati ya mji 1022sqm hati iko mkononi.

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom