Huyo muajiri tulkuja gundua mm na wafanyakaz wengne wote hakuna aliyewahi ingiziwa pesa, kitu kibaya zaidi alkuwa hatoi paying slips
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Nmekuwa nikifanya kazi kampuni moja hapa Dar es salaam ambayo kwa sasa nimeachana nayo japo nishafanya kazi nao miaka 4 na katika kipindi hicho chote nimekuwa nikikatwa pesa yangu ya mshahara kwa madai inapelekwa LAPF, suala linakuja baada ya kumaliza mkataba nao.
Nimeenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.