Recent content by J0h13

  1. J0h13

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  2. J0h13

    Nina uwezo wa kuzungumza lugha ya alama (sign language) na ujuzi wa kompyuta. Natafuta kazi

    Tunaweza kuwasiliana kaka 0659904895 namba yangu hiyo
  3. J0h13

    Nina uwezo wa kuzungumza lugha ya alama (sign language) na ujuzi wa kompyuta. Natafuta kazi

    Hata kifaransa kinaitwa kimombo, labda kuelewa tu maana ya neno hilo Ila elewa lugha hizi mbili kifaransa + kingereza ni muhimu sana
  4. J0h13

    Nina uwezo wa kuzungumza lugha ya alama (sign language) na ujuzi wa kompyuta. Natafuta kazi

    Kifaransa icho kaka Lugha ya alama unaweza ukaisoma tu, licha ya kuwa utaihisi kuna mapungufu kwenye uhandishi ila ndo jinsi inavyozungumzwa. Naomba labda unaweza kunipa connection na watu wanaoitaji taaluma zangu, au kazi yoyote tu.
  5. J0h13

    Nina uwezo wa kuzungumza lugha ya alama (sign language) na ujuzi wa kompyuta. Natafuta kazi

    Merci beaucoup mon cher ami Grace à Dieu je peut le faire Mais ne néglige pas les fautes d'orthographe
  6. J0h13

    Nina uwezo wa kuzungumza lugha ya alama (sign language) na ujuzi wa kompyuta. Natafuta kazi

    Habari za leo, Naitwa John bendera, mkazi wa kigoma ila kwa sasa nipo mkoani Singida. Ni kijana mwenye umri wa miaka 22 Ninataguta kazi yoyote ila iwe halali tu Elimu: Sijafanikiwa kufika mbali sana, nina elimu ya kidato cha nne. Ila nina uwezo pia wa kutumia Computer, na baadhi ya programs...
Back
Top Bottom