Recent content by J Mbungi

  1. J Mbungi

    Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

    Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!. Kipo Madale Mwisho...
  2. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Sorry...mimi nime "quote hapo kwenye mtungi wenyewe pameandikwa 29.1KG ( ila ni ule mtungi wa kati...siyo ule mkubwaaa!
  3. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    NAMBA YENYE WHATSAPP NI 0784355775 hiyo ya mwanzo unaweza kupiga au Tex za kawaida 🙏
  4. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Ahsat Ahsante kwqa USHAURI, nimejaribu mtaani naona kama no body is interested naona Bora nijaribu na humu wakati huo naendelea kupambana.
  5. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Ahsante,, nayo Ni pesa! Lakini ujue Nina dharura inayohitaji mtu wa kunisaidia( nikaona Bora niuZe hivi vitu badala ya kuomba msaada...thamani ya hivyo vitu na pesa unayonipa nadhani binasfi unajisikia moyoni kuwa siyo sawa! Na hapa natafuta msaada ,naomba unielewe ndugu yangu( dharura Ni kwa...
  6. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  7. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  8. J Mbungi

    Unahitaji kiwanja,shamba?!(Bagamoyo,Kerege,Kimere,Mbezi -standi ya Magufuli,Msumi au Madale?! (Kuanzia Milioni5- 50M)

    Wapendwa wana Jamvi, Sisi ni mabingwa wale wale wa kuuza viwanja, na mashamba. Viwanja na mashamba tunayo miliki wenyewe..hivyo biashara yetu haijawahi kuwa ya ubabaishaji (Mashahidi wapo humu humu jamvini. Wasiliana nasi Kwa viwanjia na mashamba maeneo ya Bagamoyo, Keregete -CCM , Mbenzi...
  9. J Mbungi

    Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    Bado tuna viwanja na mashamba maeneo ya Kerege Bagamoyo. Wasiliana nasi; Mbungi - +255784355775 Thabit -+255 713 298 350
  10. J Mbungi

    House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  11. J Mbungi

    House4Sale Jengo la ghorofa moja linauzwa - Madale njia panda ya nguzo mtaa wa nyuma ya kituo cha polisi Madale)

    Samahani wadau,nadhani sikuwa nimetulia wakati napost( na nilikuwa busy kidogo sikugundua mapema.. Being elekezi ni 120M, lakini mazingumzo ya kina yapo.. Karibu tuyajenge..
  12. J Mbungi

    House4Sale Jengo la ghorofa moja linauzwa - Madale njia panda ya nguzo mtaa wa nyuma ya kituo cha polisi Madale)

    *NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA - (MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) Specifications za nyumba:* ➡️ENEO NI 1205sqm ➡️ Half fenced Ground floor ➡️Master...
  13. J Mbungi

    House4Sale Nyumba nzuri ya Kisasa (Maeneo ya Madale-Pangaboy) Million65 tu!

    Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo. Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale mwisho. BEI no Million 65 ( ila maongeza yapo ) Ukihitaji picha zaidi na maelezo ya ziada...
  14. J Mbungi

    Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
Back
Top Bottom