Recent content by j.k

  1. J

    Baba mkubwa amenidhulumu mali zangu, nitawezaje kuzipata?

    kama si wasimamiz wa mirathi..they are "executors of their own wrong"...ambalo ni kosa kisheria wanapaswa kushtakiwa na watarudisha hizo mali
  2. J

    Msaada wa wanasheria

    yeye kama mdhamin ilibidi ajue kua atawajibishwa kwa kukiuka mkataba kwa anae mdhamin.kama alijiridhisha kua anaemdhamin ni mwaminif bas..lakin inapaswa yeye kama mdhamin amhimize huyo aliyemdhamin kulipa deni na anawajibu huo. lakin pia kwa benk ni jukumu lao kujua huyo mkopaj ataweza...
  3. J

    Mtu anayejihami akimuua mtesaji wake sheria inahukumuje?

    hiyo itaitwa "self defence" itakuwa umeua bila kukusudia...lakin lazima kuwe na reasonable force used...yaani nguvu utakayo tumia kujihami isiwe kubwa kuliko ya mtu anae kudhuru. mfano polisi akiwa anakupiga na virungu...usijihami kwa bunduki.
  4. J

    Msaada wa kisheria unahitajika

    lakini pia inashauliwa ni vyema kabla ya kuchukua hatua za kisheria pande mbili wakutane ili kama kunajambo anaweza kulifanya mwenye mali iliyoingilia mali ya mtu mwingine kama kukata au makubaliano mengine bas yafanyike ili kumaliza mgogoro baina yao
  5. J

    Msaada wa kisheria unahitajika

    mdau napenda na mimi nichangie kidogo. mmiliki atakuwa ni yule ambaye amepanda ule mgomba. kisheria kuna kitu kinaitwa NUISANCE, kwahiyo huyo jamaa ambaye mgomba umeinamia kwenye ardhi yake kama anaweza kuthibitisha madhara yoyote ameyapata kuhusiana na hali ya huo mgomba basi kosa la mmiliki wa...
  6. J

    Wanasheria ni watu wezi wa kalamu wa mali za taifa!

    kila kaz ina maadil yake..lawyers likewise are having their codes of good ethics..inaonekana cku hiz matatzo haya ya rushwa ni meng..na si kwa wanasheria tu.sasa kwakua hoja ni juu ya wanasheria ni kwamba weng wanakiuka misingi ya maadili ya taaluma zao coz haya wafanyayo ni kinyume na maadili...
  7. J

    Naomba ushauri

    mlifunga mkataba wowote ndugu??
  8. J

    Msaada wa Kisheria (Matumizi ya Mto)

    kuna haki inaitwa riparian right...hii inamuwezesha mmiliki wa ardhi aliye pakana na vyanzo vya maji kama mto kuwa na haki ya kutumia maji hayo..lakini matumiz haya yasiwaathir watumiaji wengine.sheria ya mazingira ya Tanzania inahusika.kwa msaada zaidi tuwasiliane ..0655626005
Back
Top Bottom