Sasa viongozi wanahubiri utu na kazi. (nyuma watu wanatekwa na kuuawa kila uchwao).
Ndani ya vipigo na uonevu usiokoma viongozi wa dini wanalipwa kuombea amani na kutaka maridhiano.
Hawazungumzii kupata mwafaka wa kweli wa jinsi ya kuinua taifa bali kukaa kugawana vyeo kama wanasiasa. Hatutaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.