Recent content by J 2024

  1. J

    Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

    nipo chuo mwaka wa pili nina maji wa elfu 50 nataka niagize mzigo wa kuanzia wa nguo za kike kama boyfriend Jean's au night dress naombeni ushauri kwenu wana JF
  2. J

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Kila siku asubuhi kabla ya kwenda kuoga na ukishaoga paka rimao fresh ile ya kijan toka mtini kabisa fanya hivyo ndani ya siku 3 mpak 4
Back
Top Bottom