Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo...
Dah!! Sister nimekuelewa haswa kwenye swala la kujiamini yaani unakuta akianza kukuropokea haogopi lolote kwani anajua kabisa anakutia hasira lakini anafanya tu na mm so boya huwa namkaza makofi nikichukia sasa akishajua amepigika ataria kwa kiburi atashusha pumzi hovyo kama mwenye presha adi...
Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll.
Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
Hahahaaaaa! Dah ila wanawake jamani na kwaupande wangu naunga mkono hili mwanamke kama mlikuwa mmetengana tena kwa mabaya katu usiruhusu uwe naee tRNA kwenye maisha yko hususani kama huenda alikufanyia kiburi akawa hakupi furaha
Kawaida sisi wanaume huwa tunahitaji jamani amani sasa amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.