Kiukweli jambo hili nilakusikitisha sana kuna nipo kwa namna gain mtu anaweza kuingia kwenye nchi ya kiongozi mwenzie na kufanya anavyotaka eye, kama kunataarifa zinazodhiirisha ukweli wa mambo haya kwann selikari isichukue hatua zap haraka ili kuinusuru nchii kutoka kwenye madhara...
Me nawaambien wanaendelea kugawana nchi kwa kuichanachana katika vipande viidogovidogo, hapo c dhan kama kuna mtu atakaye pinga kuongezwa kwa siku 20 nyingine ili kitita kiongezeke
Kama katenda kosa there is no way to escape from punishment.
Lakini kama kosa lenyewe halitambuliki, bali kakamatwa kwa nguvu ya chama fulani basi itakuwa ni ukukwaji wa sheria. Kwan hatuna budi kufaham kwamba " a true man will alwayse be hurted by people, because truth is universal and un...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.