Hatuhitaji kutafakari na ishu kubwa kwenye uchaguzi huu sio kuchagua malaika kwenda Ikulu maana hamna msafi hata wabadilishwe mara mia vyama vyote!Ishu ni CCM lazima ikae pembeni baaaaas....hiyo logic haiitaji cheti chochote hata lofa anaweza...
Hizo zenye maandishi utakuwa unatafuta ugomvi!ni wazo zuri lkn ujumbe uepuke kuleta dhana itakayotafsirika kama mipasho kiukweli kwanza utakuwa target nzuri ya kula kichapo aidha iwe dola au upande wapili itakapotokea rabsha!Lkn picha za viongozi tu na neno UKAWA hiyo iko poa.Chonde Picha ya Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.