Recent content by itifaki izingatiwe

  1. I

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Iringa inayoongozwa na CHADEMA yaongoza tena kwa usafi nchini

    kumbe cku hizi dar ni manispa,
  2. I

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Iringa inayoongozwa na CHADEMA yaongoza tena kwa usafi nchini

    Halmashauri gani inayoongozwa na ccm imewahi kuwa ya kwanza katika usafi? Hata Moshi na iringa zikirudi ccm swala la usafi walisahau kabisa, ccm ni wachafu sana
  3. I

    JamiiForums Tanzania Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

    Kazi kwake
  4. I

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Patric Ole Sosopi, John Heche na Joshua Nassari juu ya yanayoendelea Ukonga na Monduli

    Ingelikua Kenya, tusingesikia Haya malalamiko
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuhamia CCM kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi

    Mwanachama mfu, mwisho utakua mzoga
  6. I

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela ashangazwa na Mkoa wa Kilimanjaro kuwa Pemba ya Tanzania Bara. Adai CHADEMA haitakaa ishike Dola Nchi hii

    Huyu mama aliwahi kuwa waziri au naibu waziri, yy anatoka kilimanjaro wilaya aliyotoka nakatika wilaya zenye maendeleo duni mkoa wa kilimakiaro, lakini ni katika wilaya zenye maendeleo ya juu sanaukilinganisha na wilaya mikoa ya dodoma, tabora, geita, simiyu na katavi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Heche: Chaguzi ziahirishwe mpaka vyoo vyote ya kienyeji vitakapobadirishwa na kuwa vya kisasa

    Wavivu ni waliojenga zahati inagharimu mamilioni ya pesa, wakaacha choo kinachogharimu laki tano tu! Nahisi na ww unanyumba kubwa tu yenye hadhi lakini hujajenga choo, ndo maana unasema serikali imejenga zahanat, imeleta wahudumu lakini hushangai serikali kujenga zahati bila choo
  8. I

    JamiiForums Tanzania MOSHI : Mbowe, DC Hai 'jino kwa jino'

    Hata hivyo watu wanaoondoka ni wale waliohamia chadema 2015, na wachache km akina katambi ambaye pia kulikuwa na post hapa zikimtuhumu kuwa anatumiwa na mwenyekiti wa ccm mwanza, vijana na wazee asilia wa chadema bado wapo imara, nafikiri kuna haja ya kuwa na semina kwa vijana ili kuimarisha...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Siasa za Monduli na Kunyanganywa ardhi wamiliki

    Hata igunga walifanya hivyo, hizo ni mbinu za ccm kila mwaka, wanaweza pia kufidiwa ng'ombe endapo wataendelea kuikataa ccm,
  10. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamkaribisha Maalim Seif na kuahidi kumpa ugombea Urais Zanzibar

    Tatizo cuf zipo mbili, lipumba alianzisha ukawa na ameua ukawa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Lissu tusamehe, tumekosa sisi, tumekosa sana

    Let us pray for lisu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kama wabunge wa upinzani nao wanatafuna fedha za mfuko wa jimbo nani atakua kimbilio letu sisi wananchi

    Wabunge wa upinzani siyo vichaa, huwezi ukatoa matumizi ya million 58 haraka vile.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kadege: Kifo cha mwanafunzi aliyeuliwa na mwalimu ni mapenzi ya Mungu

    Mkuu kila kifo ni mpango wa Mungu, ndio maana kuna mtu alipigwa risasi za kutosha lakini bado anaishi, aliyepigwa viboko ametangulia mbele ya haki, hivyo kiimani waziri hana makosa, mwalimu hakudhamiria kuua
Back
Top Bottom