Recent content by Itel A51

  1. Itel A51

    MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Duuuh? Polee sana mkuu, ila afadhali kila kitu Mungu aliweka wazi na ukaendelea na mishe zako!!!
  2. Itel A51

    MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Ahsante sana... Kwa kweli hii jeuri nnayo iona sasa inanipa mashaka, nawaza labda huenda kwa sababu mwanzo mm ndo nlikua kauzu sasa anaona nmekua mpole kwahyo na yeye ananona ni muda wake wa kuvimba?
  3. Itel A51

    MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Habari zenu wakuu? I hope mko poaa wanajukwaa. Mwaka 2020 niliandika post hii kuhusu binti mmoja ambaye alikua na ujauzito wangu lakini mimi kama muhusika nilionesha kutilia shaka ujauzito huo, na sababu za mimi kuwa na mashaka niliziweka katika post hio >>>Ulishawahi kusingiziwa ujauzito...
  4. Itel A51

    Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Hapana sijaoa na sina watoto , yeye anafanya shughuli ndogo ndogo tu.
  5. Itel A51

    Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Na hii ndo changamoto nnayohofia kama nikisema tusubir hadi mtoto azaliwe!
Back
Top Bottom