Recent content by it personal

  1. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ofcouse me nimejiunga Jana tu baada ya kuona jamaa ana danganya ila me sio huyo mshikaji
  2. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    safi umechambua vzr kaka nimeitafuta hiyo security siioni unless labda kama yeye ni programmer wale wawili ila ye kakazana security
  3. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umeona ehee kaka anatuchulia poa watu ICT me namwonaga tu kitambo
  4. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ofcouse yupo vzr lakn mm sio huyo mshikaji
  5. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hapana me sio huyo jamaa me nimejiunga Jana na nimetumia IT personal sababu me ni mtu wa ICT tyu na Wala sio mshikaji sema tu nliona jamaa ana danganya sana nikaona nijiunge ili nimwambie ukweli maana kakazana security security
  6. it personal

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huyu jamaa anasema amepata kazi tarehe 20 eti yeye ni ICT security mbona pdf la tarehe hakuna mtu wa security hata mmoja afu watu waliofanya interview ya security ya Ega walifeli wote practical juzi MDA'S and LGA'S walipatikana wanne wa security bado awajapangiwa hata mmoja sa sijui security ipi...
Back
Top Bottom