Recent content by ISVANK

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wahaya waandamana

    Mbeya wachorewe picha ya wanachama wa chadema wakifanya vurugu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tumbo lingekua kama injini...

    Dah me lingekuwa linakubali oxygen(hewa) tuu.. Maana ndo inapatkana ulmwengu mzima..
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hoteli zingine hizi... Zitatuua njaa

    Kuna siku nimetoka home, njaa inanipiga vibaya.. Pale mtaani kuna hoteli mpya ilikuwa imefunguliwa.. Jina inaitwa COMPUTER HOTEL Menyu ndo ilinichosha..a ..window rost ..Mchemsho wa RAM ..supu ya flopy ..VGA choma ..harddisk kavu ..mkausho wa power cables.. Mbona nilishiba kabla...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pengo ni sehemu ya wazi mdomoni iliyong'olewa jino...
Back
Top Bottom