Recent content by Isunji dark

  1. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Ukisoma maelezo ya juu tofauti na meseji alipiga simu
  2. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Ok nimekuelewa ukweli alinambia kua alikua na bwana wakazinguana harafu mi nilimkuta wakati yupo na depression baada ya hapo ndo kamrudia tena ila ninahasira nae sana nataka nimfanyie kitu ambacho hata sahau kwa sababu aliniachia maumivu nikasahau tena jana kaanzisha mengine
  3. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Mods wanazingua kinoma inamaana kila meseji zangu mpaka wa prove, nipo jukwani mda sana hata hii ID tangu 2019 nilikua situmii sasa mnaniwekaje option za hivo
  4. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Nilimpenda sana na nilijua nitamuoa yeye sasa ndo hv kama atakuja sahizi nikupita nae na kutembea
  5. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Nimewahi ongea kwenye simu kuwa kama kaolewa ni yeye huko huko sita tengeneza ugomvi na bwana ake, hata ukisema mwisho leo kupiga simu sita piga tena
  6. Isunji dark

    Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia. Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake. Sasa katika mahusiano yetu tulipendana sana yeye alionyesha kunijali japo sijui rohoni alikua...
Back
Top Bottom