Recent content by Issara mandado bayyo

  1. I

    Je ! wajua nani alianzisha Mwenge ?

    Mwenge wa Uhuru umeleta umaskini kwa nchi yetu watu wanaishi maisha magumu sisi mwenge badala ya hiyo pesa ikuze uchumi Wa nchi na nchi bado inaabudu imani ya kipagani huku wakidanganya watu nchi haina dini lazima tukataze jamii wasiendelee na upuuzi wa zamani
  2. I

    Kwa nini tuwaombee waliokufa?

    Neno LA Mungu linasema lipo jina moja pekee limalopaswa kuabudiwa na hakuna jina lingine tulilopewa ni la Yesu sasa unamwomba wafu aliyekufa hiyo ni udanganyifu na hakuna Mungu hapoo
Back
Top Bottom