Recent content by israel tarimo

  1. I

    JamiiForums Trafiki barabarani munaonea Wananchi

    Mweshimiwa waziri wetu wa usalama,tunaomba uangalie saana jinsi polisi wanavyokusanya fine barabarani,siku hizi ukubali kosa au ukatae kosa unaandikiwa,huna pa kujitetea,sio sawa kabisa.kosa kama taa haziwaki kama indicater,breck light,ni vitu vinawezakutokea hata ukiwa unaendesha gari bara...
  2. I

    JamiiForums Kero: Wahudumu wa hospitali zetu mnakera sana kwa kutokujua kuhudumia na kutimiza wajibu wenu

    Ndio maana viongozi wanapaswa kwenda wenyewe kimya kimya ndio watagundua ugumu wa kazi uko wapimaana hujalazimishwa kuifanya hiyo kazi,hukustukizwa mshahara,uliuona na ukakubaliana nao,cha maana ni uongozi au umoja wao kuweka haya mambo serekalini sio kuharibu kazi kwa vile mishahara ni...
  3. I

    JamiiForums Kero: Wahudumu wa hospitali zetu mnakera sana kwa kutokujua kuhudumia na kutimiza wajibu wenu

    Nurses jamani niwalaumu nyie au ndivyo mulivyofundishwa? Kazi zenu hospitalini ni nini haswa? Kugawa vidonge na kuchoma sindano tuu? Kero jamani! Sasa nazungumzia mkoa wangu Kilimanjaro na hospitali nyingi nchini. Wakubwa nendeni wenyewe kwa kustukizia muone maajabu ya musa. Musiende kiofisi...
Back
Top Bottom