Recent content by Isqko

  1. I

    JamiiForums Tanzania Pensheni ya urithi ya NSSF kwa mtoto mwenye miaka zaidi ya 21 hatakiwi kupewa?

    NSSF ni wababaifu sana aise
  2. I

    JamiiForums Tanzania Pensheni ya urithi ya NSSF kwa mtoto mwenye miaka zaidi ya 21 hatakiwi kupewa?

    Hili hata mim limenitokea kwakwel aisee yaan huu utaratibu ni wa ajabu sana pale NSSF
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tumenyimwa mafao ya mirathi NSSF, tumeambiwa ni mali ya Serikali na NSSF

    Habari, Nimeenda NSSF kufuatilia mafao ya mirathi ya marehemu mzazi wangu aliyefariki akiwa kazini bado lakini cha kushangaza NSSF wanasema hatuna haki ya kupata mirathi hiyo kwasababu watoto wake tumezidi miaka 18 na hizo pesa ni mali ya serikali na NSSF. Naomba kujua hii sheria imeanza lini...
Back
Top Bottom