Recent content by Ismail Tano

  1. Ismail Tano

    Ubunifu unavyoiponza Yang

    Moja kati ya tabia kuu zinazokwenda sambamba na kazi yoyote ya kibunifu ni kueleweka kwa taratibu, kueleweka baada ya muda flani au kutokueleweka kabisa hata baada ya muda kupita hii ni kutokana na kazi za kibunifu kuhusisha utofauti kama nguzo yake kuu na kupinga ufanano. Hii huwa inajitokeza...
  2. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Ongezea GSM pia kaleta mabadiliko makubwa kwenye mpila wetu
  3. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kabla ya kufungwa kwa dirisha hili la usajili atatangazwa kama mchezaji wa singida big stars ya Tanzania hivyo basi naweza sema yes bado yupo.
  4. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Saido ntibazonkiza kachezea ligi kuu ufaransa na bigirimana kachezea newcastle ya uingereza vipi na wao wapo simba?
  5. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Mahali ambapo panahitaji sifa tusifie na panapohitaji maoni mambo yakiwa si sahihi tuongee tu hakuna shida mbona
  6. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kwamba wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza pamoja na Ligi Kuu ya Ufaransa...
Back
Top Bottom