Sikubaliani na wewe ingawa mimi si mtalaamu wa kiswahili, lakini kwa mimea bila kuweka "M", huwezi kupata nomino/jina ya mmea husika. Na ukiondoa "M", utapata jina la zao la huo mmea. Kwa hiyo ili kupata jina la mti husika, ni lazima "M" itangulie kuonyesha kuwa hilo ni jina la mmea, na si zao...