Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
Habari zenu wakubwa' majina naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka 28 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis za magari' tangu najifunza mpaka sasa nimefuzu Nina miaka9 kwenye fani' bado sijafikia kimtaji kufungua ofisi yangu' nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye connection ya kazi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.