Recent content by ISHA RAMADHAN

  1. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukusanya mtihani wako wa mwisho.

    Mbongo mwngn ataichukua fasta kwny poch
  2. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukusanya mtihani wako wa mwisho.

    Hahaha lazma upate mia
  3. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Kufa kufaana!!!

    Hahaha na kwel
  4. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania CR7 na Mwanae

    Hahaha hamna bwn mungu amnusuru afate tabia ya mama ake
  5. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania CR7 na Mwanae

    Kwel maj hufuata mkondo
  6. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Mambo ya harusi hayo

    Hahaha anaenda kumpelekea zawad wife
  7. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Grand Vellas - Mexico

    It's lovely
  8. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Unahisi itakuwa mkoa gani?

    Dodoma hyo
  9. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Obama kaalikwa au kaalika?

    Wanajua nn n sawa na punda aliebeba mzigo asijue unahusu nn na umetoka wap hawakuanza leo wapo tangu na tangu wanajitia majeur kuna jeur anaemzid firaun aliyejiita mungu? Na yuko wap now na jeur yake mungu kamkausha yupo jumba la makumbusho up to date hawa c wanaigiza tu
  10. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Obama kaalikwa au kaalika?

    Lazma uogope we c unaogopa kufa sie hatuogop kufa kwa ajili ya mungu we c unahis utanyakuliwa muende mbingun ukale mapera yesu akirud ngoja cku ifike ukaujue ukwel wa mambo hahaha
  11. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Ibada imehamia barabarani

    Afadhal yan cjui nkupe zawad gan Allah akupe kivul cku ya qiyama inshaalah
  12. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Ibada imehamia barabarani

    Hahaha dini n jambo la iman unapoongea shit unawakwaza wengn alaf cjaona muislam akiiteta dini yenu ila nyie hamuish kuchokora mambo ya waislam km nyie wakamilifu vle its boring ndo maana pakawekwa religious tolerance ili kila mtu afanye yake co kwako tu na wengn wote wanaushobokea uislam
  13. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Ibada imehamia barabarani

    Nani anafanya hivyo? Ongea facts. Wewe una uhakika gani hiyo picha imepigwa mwezi huu?
  14. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Bado daku hapa

    Kula starehe bwn hahaha
  15. ISHA RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Obama kaalikwa au kaalika?

    Yametoka wap hayo waulizwa kunde wajib maharage loooooo
Back
Top Bottom