Kwani c kweli tofauti ya mama Samia na magufuli iko katika kujiamini hakuna asiyejua magufuli alikuwa anafanya mwenyewe huyu mama anaongozwa na kina kikwete, Omar kheri na lukuvi na shida yote imeanzia hapo.
Kwa hivyo tukae kimnya na insha'Allah kwa uwezo wa Mungu Kesho atekwe mwanao au mkeo ndipo utapojuwa jinsi familia wa waliotekwa na kutoweka wanavyopitia.
Wale tuliopinga uharibifu wa mazingira na mkatuona wapinga maendeleo sasa mnaona jinsi tulivyopoteza matrilioni kwa mradi mbovu kabisa, kikwete alikuja na mradi kwa kuzalisha umeme wa gesi kutoka kusini ambao ungeondosha kabisa tatizo la umeme lakini alipoingia magu akaja na lake na hili ndio...
Sio mwehu Mungu huyo anakuadhirisheni ma CCM kwa dhambi mlizozifanya na mnazoendelea kuzifanya na huyu inaonesha alihusika kwa wale ndugu zetu waliopogezwa wakati ule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.