Recent content by Isaiah110498

  1. I

    Bachelor of science in chemistry

    Nimepata BSc General,ndo mana nauliza combination ipi ya masomo ni nzuri.. maana sina uzoefu na hii kozi.Msaada Tafadhali
  2. I

    BSc General (udsm)

    Msaada wakuu.. Eti combination ipi ya masomo ni nzuri kwenye hii Bsc General degree.Wengi wanasema Combination nzuri ni Chemistry and Microbiology,je ni kweli??msaada zaidi
  3. I

    Bachelor of science in chemistry

    Naomba kuuliza mkuu,ipi combination nzuri kama umepata BSc general UDSM ?? Wengi wanasema Ukichanganya Chemistry and Microbiology ndo inakuwa poa,je ni kweli mkuu? Au combination ipi iko poa kwa upande wa ajira soon ukimaliza BSc general?
Back
Top Bottom