Mi nadhani mabadiliko ya playlist clouds FM yana mvuto zaidi kwa wasikilizaji sijui wadau mnasemaje....manake ukilinganisha na kipindi cha nyuma kidogo ukwlei ni kwamba ilipoteza muelekeo kabisa ila atleast kwa sasa waweza kusiki hata nyimbo ambazo hutarajii kuzisikia kirahisi..
Haaaahahahahahahahaha
Dah Kali sana
Ila mimi leo ni
Ndumilakuwili by olduvai Band kwa waliokuwepo miaka hii watanielewa tu
Baba kaleta Panyaa Baba kaleta Panyaa
We Uchicheme panya chema chamaki nchanga
Mwenye nyumba hii ni Mmakonde
akitugundua atatufukuza
turudi kwetu nchumbiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.