Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo.
Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko.
Kwa upande wa...
Napongeza marekebisho yanayofanywa na TRA kwenye ukusanyaji wa mapato kwa kutumia njia za kielektroniki. Mabadiliko hayo ni pamoja na mfumo mpya wa kuwasilisha ritani za VAT ambapo mfumo ulioboreshwa na kuanza kutumika kwa mwezi machi 2022 una changamoto kubwa. Kwamba kawaida risiti...
Nimeshtushwa baada ya kukuta nimewekewa fine ya 10,000 baada ya kuchelewa kulipa parking fee ya tar 22/3/2022 ya 500. Ina maana hata mwezi mmoja haujapita tayari fine kubwa hivyo, huo ni Wizi mchana kweupe. Kama Serikali inaweza kuweka fine kubwa hivi je ingekuwa wao wanapochelewesha malipo ya...
Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji.
Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni.
1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.