Nauza kuku 7500. Kuku Wana wiki 5 na wako 270.
Kwa ambae anahitaji jamani mnaweza nitafuta Kwa namba 0624 85 57 57. Mabanda yapo mbezi beach salasala. Kwa maeneonya karibu delivery ni bure.
Unapata kuku ameshachinjwa. Kama utataka mzima utapata Kwa 7000 kamili.
Yes kwa bongo it is well applicable, Italeta mvutano kidogo lakini hamna kinachoshindikana. kwa asilimia 70 itapokelewa ila wale asilimia 30 itachukua mda kuikubali
Hii huwa ni changamoto kwasababu ya waliotangulia kupoteza vitu na pesa ndomana imekuwa hivi, na ni janga kubwa. Ahsante kwa huu mchango mzuri. Nimelipokea
Ukisema kuibiwa mtaji unamaanishaje? sijaelewa hapo, hii ya kodi ya frame na Tra naijua, upande wa kukopa na kuchikichia sijaelewa, ni kutolipa au kupotea?
kwenye bei mfumuko kwa wanunuzi nimeelewa.
Haha pole sana kuhusu jina Mheshimiwa.
Lengo nikuweza kutatua hizo kero na kurahisisha biashara kwa upande wa wafanyabiashara na kwa wanunuzi kuwadhihirishia muuzaji ni wakweli na sio tapeli na bidhaa ndo yenyewe haswa na sio uwongo.
Lengo langu kwa kifupi kuweza kutatua hizi changamoto na kila upande kuwa na urahisi wa kufanya biashara na kupata huduma. yes sawa na kuweka app na website
Habarini jamani,
Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.
Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.
Kwa mwenye mda anaweza kucomment hapa.
PLOTS FOR SALE
Total Size – 4000Sqm
Price – 360,000,000 TZS
Location – Mtaa (Sala Sala )
Kata (Wazo )
Barabara (Flamingo Road)
Wilaya ( Kinondoni )
Title Deed – Under process
Residential Purpose
Close to Waziri Dorothy Gwajima
3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each.
serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.