Ningemchagua Dr. Slaa kwa sababu zifuatazo
i) Hana taamaa ya madaraka
ii)Ana msimamo katika kile anachokiamini kuwa kinamanufa kwa taifa
iii)Ni mzalendo wa kweli dhidi ya jamii nzima ya kitanzania
Iv)Hafanyi mambo ili apate sifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.