Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania.
Sifa ninazohitaji,
Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu
Umri kuanzia 34-50
Awe na kazi/shughuli ya kuingiza kipato
Awe tayari kujenga familia
Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.