Recent content by INSURANCE

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji store kwa ajili ya kuuza Howo spare parts & service shop

    Bado sijapata eneo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji store kwa ajili ya kuuza Howo spare parts & service shop

    Habari! Kwa anayefahamu naomba kusaidiwa kupata sehemu nzuri ambapo ntafanya biashara ya spare pats na service za Howo truck hapa Dar es salaam. Pia napenda kufahamu kodi ya miezi 6 itakua kiasi gani. Asanteni.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Angalia vizuri ndugu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Haina ukweli wowote wenyewe ndo wamepigwa chini loss ratio yao kubwa mno
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Rabininsia wanaenda wenye bima kubwa(Value plan)
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Kama ndo unajiunga Kama unaongeza mkataba sawa ila kama ndo unajiunga ni nje ya utaratibu wetu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Kama ndo unajiunga Tunachukua watu wenye umri wa miaka 64 kwenda chini ndo utaratibu wetu zaidi ya hapo labda awe anaongeza mkataba. Regency wanaenda watu walochukua bima kubwa(Value plan)
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Tunakukaribisha ndugu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Subiria watu wa NHIF waongee ndo na wewe uongee usisikie kwa wanasiasa. Kwa upande wetu ni hivyo ila una uhuru wa kuchagua pia ukipenda kwetu karibu.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Una uhakika na unachokiongea?,usiweke siasa kwenye maisha ya watu, fuatilia mambo kabla ya kuongea ndugu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    Asante ndugu, kuna mipango ya bima mingine ambayo ya juu zaidi unaweza kutumia hadi milioni 180 kwa mwaka
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ujue mpango wa bima ya afya uitwao HAKIKA PLAN,kutoka Resolution Insurance

    HAKIKA PLAN Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga. Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili. a)Hakika 5M plan -Ukomo wa matibabu ya kulazwa(Inpatient limit) Tshs.milioni 5 kwa mwaka -gharama za...
Back
Top Bottom