Recent content by Inspector Abdala

  1. Inspector Abdala

    Mpanda, Katavi: Nyachia Kunju, anadaiwa kwamba hafuati Sheria za manunuzi kwenye Idara

    Ukweli utasemwa tu. Wakae kimya wote ila ukweli ndio huu. Mfanyakazi wa serikali tena idara ya manunuzi anakuwa busy kuhakikisha anajipa zabuni. Hii sio sawa kabisa. Ni lazima ukweli usemwe na wahusika kama mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na mkurugenzi wachunguze kitu kama hiki ambacho kipo wazi...
  2. Inspector Abdala

    Mpanda, Katavi: Nyachia Kunju, anadaiwa kwamba hafuati Sheria za manunuzi kwenye Idara

    Naisaidia serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia na Waziri Umy Mwalimu kama waziri wa TAMISEMI. Inadaiwa Halmashauri ya Mpanda, kuna jamaa anaitwa NYACHIA KUNJU, huyo jamaa anaimiliki IDARA ya manunuzi hasa kwenye miradi iliyochini ya Idara ya Afya na Elimu. Anaamua nani apewe kazi nani...
Back
Top Bottom