Nina mpenzi wangu juzi tu ananambia kuwa ananipenda lakini ameona bora awe na mtu mwingine kwa kuwa uyo mtu anamaisha magumu na huyo mtu anampenda yeye sana hivyo anaamua kuwa nae kama njia ya kumsaidia huyo mtu, kwa kweli nahisi kuchanganyikiwa kwakua nilimpenda sana imefikia stage saivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.