Recent content by innocent_teulas

  1. I

    Naomba msaada Jinsi ya kuondoa fatal error kwenye installation ya OS

    Wadau habari za kazi,naomba msaada wenu nimekwama kumalizia installation ya operating system ya windows XP service pack 2 ni laptop ya Hp compaq nx9010 baada ya kucopy files inaleta message ya Fatal Error naomba ushauri wenu nifanyeje ili kuondoa hiyo message na niendelee na instalation...
Back
Top Bottom