Recent content by Innocent89

  1. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sera na mikakati ya muda wa miaka 5 katika kutatua wimbi la vijana kukata tamaa ya kupambania uchumi wao wanapofikia miaka 30 hadi 35

    VOTE for me 🙌🙌 naandaa chapisho naamini litakuwa zuri zaidi ya hili
  2. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sera na mikakati ya muda wa miaka 5 katika kutatua wimbi la vijana kukata tamaa ya kupambania uchumi wao wanapofikia miaka 30 hadi 35

    Vijana wengi wakifikia huo umuli wanakosa ramani wanasahau kuwa trump amekuwa raisi wa marekani na miaka 70
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sera na mikakati ya muda wa miaka 5 katika kutatua wimbi la vijana kukata tamaa ya kupambania uchumi wao wanapofikia miaka 30 hadi 35

    Chazo Jukwaa la vijana 2016. Kukata tamaa kwa vijana wa miaka 30 hadi 35 ni tatizo linalozidi kuonekana katika jamii nyingi. Hii ni umri ambapo vijana wengi wanatarajiwa kuwa wamejenga msingi thabiti wa maisha yao ya kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, sababu mbalimbali zinaweza kuchangia hali...
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikakati ya kuboresha fursa na kuondoa changamoto za kipato kwa Wantanzania hususani vijana na wenye uhita kupitia Technolojia na Ajira plani ya muda

    Kuanzishwa kwa mfumo wa kazi za mkataba kwa vijana nchini Tanzania kunatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, na kisiasa kwa miaka mitano ijayo. Mfumo huu unalenga kuboresha ajira kwa vijana, ambao ni sehemu kubwa ya idadi ya watu nchini, na kupunguza...
Back
Top Bottom