Habarini Wandugu
Mimi ni mgeni humu ila nimevutiwa sana na huu Uzi maana unawaandaa wengi kuanzia kwenye written Hadi kusubiri placement, kama mtafuta fursa Naomba mnipokee tujumuike pamoja wakati tukiwa tunasubiri ugali kupitia PSRS. Kwa ambao tayari mmetokea kwenye mikeka hongereni sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.