Recent content by ink

  1. I

    JamiiForums Tanzania Masomo matatu Advance hayana mana.

    nakupata..nakupata Mshinga,ila tambua masomo matatu yanawekwa il kumwongezea msomaj uwanja mpana wa kwenda kweny proffesional yake chuon,kumbuka elim ya 5&6 haina ujuz wwote bal umwandaa mwanafunz kwa ajil ya elim ya juu ambako ata specialize kweny kitu chake akipendacho;mfano mm nlisoma PCB lkn...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Masomo matatu Advance hayana mana.

    kwan nan kakwambia kila anayesoma PCB huwa daktari au atasoma mambo yanayohusiana na afya?na co lazma mtu aliyesoma PCM awe engineer...fikiria kabla ya kusema na soma sana kabla ya kufikiri.
  3. I

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    waazi afande xir!
  4. I

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    mmezihakikisha hizo habari zenu lakin?sis tuliokuwepo JKT ndo tunajua kwel yote,achen kudhalilisha jeshi letu tukufu.remember"no research no right to speek"
Back
Top Bottom