Recent content by inflamable

  1. I

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Deni la taifa lipo katika currency tofauti kwa hiyo kiwango kinaweza kutajea tofauti kwa muda tofauti kulingana na kupanda au kushuka kwa shilingi. Pia deni limegawanyika katika sehemu mbili deni la ndani na deni la nje. Kwa hiyo tunaposikiliza kuhusu deni la taifa lazima tujue ni nini kinaelezwa.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

    i think kutakuwa na nafasi za kazi huko:A S embarassed:
Back
Top Bottom