yan yule baba ataongoz tena,yan tutateseka tena kwa miaka 5???siamin kwa kweli,
Lissu ww ni mwanasheria,naomba fany Kitu..okoa Tanzania kabla huyu baba hajaapishwa mbona ushahid wa wiz wa kura upo wazwaz tu
Nitakua mjinga sana.
Nimeisubiri tar 28/10 kwa miaka 4 sasa,halafu niende nikampigie kura JPM..labda niwe nimerukwa na akili ila kwa akili zangu timamu..HAPANA...LISSU ANATOSHA,MITANO KWANZA
Yan aliyefukuza wafanyakaz feki na tuondoa wafanyakaz hewa leo anatengeneza kura feki na vituo vya kupiga kura Hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#niyeye
Tume ya uchaguz INA uwezo Wa kuaccess taarifa za mpiga kura sehem yoyote ile atakayokuwepo kupitia system yao..kwann wasingefanya ivo ili kuruhusu mpiga kura kupiga kura popote..yan unaenda na kadi wanaangalia kama umejiandikisha halaf wanaweka alam maalum kwenye system yao kuonyesha kwamba...
Kwa maana hyo kutakua na karatas za ziada kwaajili ya marekebisho kwa waliokosea/kubadili mawazo,kwann wasituruhusu tupige kura kituo chochote kwa sisi tuliohama makazi...maana kila kituo kitakua na karatas za ziada tuzitumie izo izo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.