Katika hali ya kawaida ukimuuliza Mtanzania unajivunia nini katika nchi yako, atakutajia vivutio vya utalii kama Serengeti, Ngorongoro au mlima Kilimanjaro. Anaweza kwenda mbali zaidi na kutaja adhina kama madini na gesi. Vile vile ukimuuliza mdada nini anajivunia si ajabu akakuelezea vile...
Imekua kawaida sana, kwa vijana wengi pengine hata wazee ambao kwa namna fulani bado hawajafanikiwa kimaisha, kutumia hali ya kisiasa na kiuchumi kama kikwazo cha wao kutofikia malengo yao. Imefika hatua kumezuka hadi misemo ikisadifu fikra zao kuonyesha vile ilivyo vigumu kufanikiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.