Recent content by Impatient Pessimist

  1. I

    JamiiForums Shiriki katika Tafiti Fupi (na asante upewe)

    Asanteni sana! Tumefikia idadi ya watu tunaohitaji wa tafiti hii. Hatutachukua wengine kwa sasa. Ila tutakuwa na tafiti nyingine muda mwingine. Ukipenda kushiriki, tuandikie. Asante kwa ushirikiano wanajamii.
  2. I

    JamiiForums Shiriki katika Tafiti Fupi (na asante upewe)

    Tunajaribu kutafuta ufumbuzi wa upatikanaji wa ushauri na habari za kiafya kwa ubora zaidi kuliko ilivyo sasa. Utafiti wetu umeonyesha kwamba ni tatizo kwa wengi wetu kupata ushauri au habari za kiafya ambazo ni hakiki, na za kuaminika, na katika muda muafaka kwetu. Ndio maana tumefikiria...
  3. I

    JamiiForums Naomba maoni yenu juu ya wazo hili - ushauri wa afya

    Naomba mawazo yenu katika tafiti hii ninayoifanya kuelewa tatizo au kero katika upatikanaji wa elimu, ushauri, na habari za kiafya. Mimi ni mfanyakazi wa afya ya jamii. Katika kazi zangu, nimejifunza kwamba kikwazo kikubwa cha watu kutoweza kuwajibika juu ya afya zao ni ufahamu mdogo, imani na...
Back
Top Bottom