Recent content by Immortal Joe

  1. Immortal Joe

    Je, Vita dhidi ya ubaguzi na tofauti wa usawa baina ya watu yawezekana vilishindwa kabla ya kuanza?

    Licha ya kuwa na kampeni za muda mrefu zenye lengo la kutuamasisha na kutuaminisha katika jamii yenye usawa ambayo haina ubaguzi lakini bado tunaendelea kushuhudia gap kubwa la utofauti wenye kuheshimisha na kudidimiza mtu dhidi ya mtu fulani au jamii fulani dhidi jamii nyingine. Je kwa hali...
  2. Immortal Joe

    Kuna uwezekano wa kutokea baa la njaa nchini. Ni wakati sahihi Serikali na jamii kujiandaa

    Ni wakati ambao mabadiliko ya tabia ya nchi yamechukua nafasi katika ulimwengu huku tukiwa tunashuhudia ongezeko la joto na upungufu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini. Mazingira yanatuma taarifa kwa ulimwengu kama tunahitaji kuyategemea basi tunajukumu la kuyatunza na kuyalinda. Viongozi...
  3. Immortal Joe

    Vijana lazima tujifunze, aliye nacho huongezewa!

    Na mimi naungana na CRDB kumpongeza Prof. NEEMA MORI na pia nawakumbusha vijana wenzangu kufika hapo inawezekana.
Back
Top Bottom