Recent content by Immortal Consulting Co

  1. Immortal Consulting Co

    Hatua tano za ukuaji wa biashara

    Katika ulimwengu huu ambao ujasiliamali umehubiriwa sana kila mmoja anataka kuwa boss, kila mtu anawaza kuanzisha biashara yake, kuna biashara nyingi zinaanzishwa kila siku lakini kuna biashara nyingi zinakufa kila siku. Ni biashara chache sana ndio zinafikia hatua ya tano, nyingi huishia hatua...
  2. Immortal Consulting Co

    Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Ndugu wana jukwaa, Makala mpya inatoka leo, Inahusu hatua tano za ukuaji wa biashara. itakupa mwanga wa kujua biashara yako iko hatua gani, na katika hatua hiyo ni mambo gani ya kuzingatia na ni hatari gani utazikabili na nini kifanyike ili uweze kuvuka kwenda hatua nyingine. Kaa mkao wa kula.
  3. Immortal Consulting Co

    Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Ni kweli. Hususani biashara mpya. Unapoanzisha biashara na unategemea kula na matumizi yako yote hapo hapo ni shida. Lazima ipate muda wa kutosha kustabilize.
  4. Immortal Consulting Co

    Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Tunaendelea kupata michango mbalimbali. So far, comments zote ni nzuri. Ningependa nisisitize vitu vichache tu. i. Ni ukweli wa wazi kwamba biashara ni ngumu sana, ina changamoto nyingi sana, na kwa bahati mbaya wengi wetu hatujalelewa kwenye mindset ya biashara tangu tukiwa wadogo. wengi...
  5. Immortal Consulting Co

    Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi zinakufa kila siku kwa sababu mbalimbali ambazo tutazijali siku nyingine. Katika makala ya leo...
Back
Top Bottom