Recent content by immah_255

  1. immah_255

    Bei ya Guests House Shinyanga

    Asante kwa ushauri ila nadhani nitapata angalau wenyeji waliotembelea maeneo hayo. Na nafanya survey huku na kule nipate mwongozo kabla sijaenda maana natarajia kukaa siku 3.
  2. immah_255

    Bei ya Guests House Shinyanga

    Wanajamvi habari za sikukuu ya Eid El Fitril, naomba kwa anayefahamu bei rafiki kwa guests house za Shinyanga maeneo ya Iselamagazi.
Back
Top Bottom