Recent content by imblackpanther

  1. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Francis# bado nastahili mafao ya ukosefu wa ajira maana Kuna makubaliano ayakutekelezwa pia muda wa mkataba ulifikia kikomo chake?
  2. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Mimi nipo ubungo please mwongozo wa maelezo ilikufka sehem sahih
  3. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Niliulizia uko CMA NDio naenda leo Ila uyu muajiri wangu anatunynyasa Sana na pia tupo wengi wa changamoto iyo iyo
  4. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda mfupi (12 months) na yote nimetumikia. Nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea nao baada ya...
Back
Top Bottom