Recent content by Imanshabaz

  1. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Njo DM
  2. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Si kwa ubaya wachaga wapo poa. Ila nadhani kuna watu wanawaweza
  3. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Thanks.
  4. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Kama ni Muislam na ana hizo sifa ntingine itakua poa sana.
  5. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Kweli ehe?
  6. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Aise acha mkuu. Wachaga wako poa. Ila inabidi tuwaachie watu wanaowaweza.
  7. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Ni kweli nimechemka hapo, mimi ni mwanaume.
  8. Imanshabaz

    Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke. Sifa ninazoziangalia. Awe mwislam. Asiwe mchaga. Mwembamba au mnene wastani. Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m). Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto). Awe tarari kupima...
Back
Top Bottom