Recent content by Iman Anyandwile

  1. I

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ifuatilie Premier Bet, ukishinda hawakupi hela yako, wana ku-block

    Sas utafanyaje wakati acc imefungwa!! Na operation zote zinafanywa na watu wako abroad uko. Shida n hawa gaming board wanatoa lesen kiholela afu hawafanyi follow up kujua utendaji kazi wa watu waliowapa leseni
  2. I

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ifuatilie Premier Bet, ukishinda hawakupi hela yako, wana ku-block

    premier bet bila shaka ulishinda kupitia zile bonuses zao. wanatoa bonuses ya 150% kwa first deposit ila ukiwapuna utajua hujui. mimi nina lain hapa ina 4m imefungiwa haiwez kuwithdraw wala kubet yaan hela ipo pale juu haina matumiz yoyt na ni tngia mwaka jana mwez wa7 waliniambiaga your acc can...
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira zipo lakini ni ngumu kumeza. Mapinduzi kwenye Elimu yanahitajika

    Pia ishu ni kubadilishwa kwa viongozi wa elimu mfano mawazili. Kabla wazili hajatimiza malengo alojiwekea anatolewa na wanaanza upya. Hii si sawa
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira zipo lakini ni ngumu kumeza. Mapinduzi kwenye Elimu yanahitajika

    Ni Tanzania, mahala ambapo rasilimali zimezagaa lakini hakuna anaejua namna ya kuzifaidi. Watoto wanapelekwa darasani ili waweze kutwaa maarifa yanayoweza kuwasaidia kunufaika na rasilimali lakini nani ajuaye kuwa hata yule mwalimu amfundishaye mtoto nae hajui namna sahihi ya kutwaa utajiri huo...
Back
Top Bottom